News
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete, amesema katika mwaka wa fedha 2025/26, Serikali itaanza kutumia Mfumo wa kieletroniki ambao utaweze ...
Waziri wa Maji Jumaa Aweso ameeleza kuwa msukumo wa serikali ndani ya miaka minne ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan imefanikisha kikamilifu kutekeleza ilani ya CCM 2020/25, akieleza kuwa kufikia ...
Chama cha ACT Wazalendo kinapenda kuujulisha umma wa Watanzania kuwa kimezindua rasmi programu ya mafunzo kwa majimbo 189 kutoka katika kanda 8 za kichama, ikiwa ni awamu ya kwanza ya utekelezaji wa p ...
Timu ya Yanga SC imetinga nusu fainali kombe la CRDB Federation Cup kwa kuifunga Stand United bao 7-1 wakiwafuata Simba SC ambayo ilifuzu kutinga nusu fainali kwa kuichapa Mbeya City bao 3-1. Yanga SC ...
WAKALA wa Huduma za Misitu (TFS) pamoja na Halmashauri za mkoa wa Pwani, zimetakiwa kutumia mvua zinazoendelea kunyesha hapa nchini kupanda miti katika maeneo ya mkoa huo kufikia lengo lililowekwa. Ma ...
JESHI la Polisi mkoani Manyara, limesema watu wawili wanaosadikika kuwa wachimbaji wadogo maarufu wanaapolo ndio wanahofiwa kupotea katika machimbo ya madini ya Tanzanite, Mirerani. Akizungumza na Nip ...
Rais Samia Suluhu Hassan amemtaka Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kufika katika daraja la Somanga Wilaya ya Kilwa mkoani Lindi kesho ili kuhakikisha mawasiliano yanarejea katika barabara ya kutoka Dar es ...
A record-breaking 65 Fortune Global 500 companies and industry leaders are participating in the ongoing fifth China International Consumer Products Expo (CICPE) on the tropical island province of ...
South African President Cyril Ramaphosa on Monday announced former deputy finance minister Mcebisi Jonas as his special envoy to the United States, in an effort to try to rebuild a relationship that ...
JESHI la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, limetoa ufafanuzi kuhusu picha mjongeo, iliyoonekana kusambaa kwenye mitandao ya kijamii, ikihusisha watu waliokuwa wanatumia gari lenye namba za usajili T 540 EHF ...
Chinese President Xi Jinping on Tuesday urged China and Vietnam to jointly oppose power politics and unilateralism. In his meeting with Vietnamese President Luong Cuong, Xi said trade wars will ...
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Stephan Wasira, amewataka wanachama wa chama hicho kuwa wasiogope kwakuwa hakuna chama kinachowasumbua na wanaosubiri kwamba kitaanguka watasubiri sana.
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results