Leo ni siku ya Mzizima Dabi, Simba SC atawakaribisha matajiri wa Chamazi, Azam FC Uwanja wa Mkapa kuanzia saa 10 jioni.
Hivi karibuni Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Wallace Karia alisema wanaandaa kanuni ambayo msimu ujao hakuna klabu ...
KOCHA, Mikel Arteta kwa hasira amewashambulia kwa maneno mastaa wake wa Arsenal akiwashutumu kwamba hawana viwango vya kuwa mabingwa.
BAADA ya awali kuikosa burudani ya mchezo wa kwanza kati ya Azam FC na Simba uliopelekwa visiwani Zanzibar, safari hii ...
SIMBA imetamba leo itaendeleza Ubaya Ubwela pale ilipoishia wakati itakapokuwa wenyeji wa Dabi ya Mzizima dhidi ya Azam FC, huku Wanalambalamba wakijibu mapigo kwamba safari hii ...
WAKATI Simba na Azam zikishuka uwanjani kesho jioni katika Mzizima Derby, vinara na watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga jana ...
Man United ililipa Pauni 9 milioni kupata saini yake na alipotua Old Trafford, imekwenda kumpa dili la kumlipa mshahara wa ...
KOCHA, Mikel Arteta kwa hasira amewashambulia kwa maneno mastaa wake wa Arsenal akiwashutumu kwamba hawana viwango vya kuwa ...
SUPASTAA, Kevin De Bruyne atalazimika kutazama upya mpango wake wa kutaka kustaafu soka kwenye kikosi cha Manchester City ...
MASHABIKI wa Leicester City wameanza kumchoka kocha Ruud van Nistelrooy wakimtaka aondoke haraka baada ya kuona matokeo ya ...
REFA wa zamani wa Ligi Kuu England, Mark Halsey ameishambulia VAR akisema ni ya hovyo baada ya kuinyima Everton nafasi ya ...
KIUNGO wa Singida Black Stars, Aziz Andambwile anayeitumika Yanga kwa mkopo ameshtukia jambo na fasta akaamua kufanya kitu ili kutaka kujiweka pazuri kabla mambo hayajamchachia zaidi.